Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serekali ya Chile imewahakikishia matababu waathirika wa tetemeko

Serekali ya Chile imewahakikishia matababu waathirika wa tetemeko

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo atakutana na Rais wa Chile Michele Bachelet na mrithi wake ili kuwahakikishia azma ya kimataifa ya kuwasaidia baada ya kukumbwa na tetemeko.

Shirika la Afya Duniani WHO linasema serikali ya Chile imewahahakikishia wananchi wake kwamba dawa na matibabu vitapatikana bure kwa walioathirika na tetemeko.

Hakuna dalili yoyote ya mlipuko wa magonjwa ingawa hali ya tahadhari imewekwa.