27 Novemba 2009
Kwenye makala ya awali, ya mfululizo wa vipindi vya sehemu mbili kuhusu Mkataba wa Haki za Mtoto, makala iliotangazwa hapo jana, tulikupatieni mahojiano baina ya mwanafunzi wa kidato cha pili, kutoka Kenya, Millicent Atieno Odondo,
Sikiliza makala kamili ya kipindi kwenye idhaa ya mtandao.