Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNFPA itawasilisha ripoti mpya wiki ijayo juu ya idadi ya watu duniani

UNFPA itawasilisha ripoti mpya wiki ijayo juu ya idadi ya watu duniani

Ijumatano ijayo, tarehe 18 Novemba, Shirika la UM juu ya Udhibiti wa Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) itawasilisha ripoti mpya kuhusu uhusiano wa mabadiliko ya hali ya hewa na athari zake kwa wanawake.

Kadhalika, UNFPA itawasilisha ripooti mpya nyengine juu ya fungamano za maisha ya vijana wanaoathirika na kuongezeka kwa hali ya joto kimataifa.