Global Fund itafadhilia nchi maskini dola bilioni 2.4 kupiga vita maradhi
Taasisi ya Mfuko wa Kimataifa Dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria - inayoungwa mkono na UM - yaani Taasisi ya Global Fund, imeidhinisha leo hii msaada wa dola bilioni 2.4 kufadhilia miradi ya kupamabana na mardhi hayo matatu, katika nchi zenye maendeleo haba ya kiuchumi,