Baraza la Usalama limepitisha ajenda ya majadiliano kwa Novemba

Baraza la Usalama limepitisha ajenda ya majadiliano kwa Novemba

Leo asubuhi wajumbe wa Baraza la Usalama walikutana kushauriana juu ya ajenda ya kazi kwa mwezi Novemba.

Shughuli za Baraza la Usalama kwa mwezi huu zitaongozwa na Balozi wa Kudumu wa Austria katika UM, Thomas Mayr-Harting, Raisi mpya wa Baraza la Usalama kwa duru ya mwezi November.