Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti ya Goldstone inazingatiwa kwenye mjadala wa kila mwezi wa Baraza la Usalama juu ya Mashariki ya Kati

Ripoti ya Goldstone inazingatiwa kwenye mjadala wa kila mwezi wa Baraza la Usalama juu ya Mashariki ya Kati

Ijumatano Baraza la Usalama liliitisha kikao, ambacho rasmi, kilidaiwa kuzingatia hali ya Mashariki ya Kati, kwa ujumla, kama inavyofanyika mara kwa mara, takriban kila mwezi, hapa kwenye Makao Makuu.

Kwa ripoti kamili tafadhali sikiliza idhaa ya mtandao.