Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mjumbe wa kwenye 'UM ya Majaribio' anasailia natija za kitaaluma mkutanoni

Mjumbe wa kwenye 'UM ya Majaribio' anasailia natija za kitaaluma mkutanoni

Mpango wa mazoezi ya kisiasa, unaotambiliwa kama \'Mradi wa UM ya Majribio\' hutekelezwa kile mwaka na wanafunzi wa maskuli na vyuo vikuu kadha wa kadha katika dunia. Lengo hasa la mazoezi haya ni kuwapatia wanafunzi wanaoshiriki kwenye mradi, fursa ya kushuhudia hali halisi ya shughuli za UM na taasisi zake mbalimbali, zinazosimamiwa na kuongozwa na raia wa kutoka kila pembe ya dunia.

Sikiliza mahojiano kamili kwenye idhaa ya mtandao.