Skip to main content

'Dhoruba timilifu ya maafa ya kiutu' inajiandaa kupiga Sudan Kusini

'Dhoruba timilifu ya maafa ya kiutu' inajiandaa kupiga Sudan Kusini

Naibu Mratibu wa UM juu ya Misaada ya Dharura, Lise Grande ametoa onyo maalumu hii leo, kutoka Khartoum, lenye kubashiria mripuko wa "dhoruba timilifu ya maafa ya kiutu", katika Sudan Kusini, tofani ambayo alisema itahatarisha maisha ya asilimia 40 ziada ya wakazi wa eneo hilo la nchi.