Skip to main content

Mahojiano kamili ya msomi wa Kenya, Ngugi wa Thiong'o, juu ya 'wajibu wa mataifa kulinda raia'

Mahojiano kamili ya msomi wa Kenya, Ngugi wa Thiong'o, juu ya 'wajibu wa mataifa kulinda raia'

Mnamo mwezi Julai, kwenye kikao kiso rasmi cha Baraza Kuu, walikusanyika wataalamu kadha wa kadha walioshiriki kwenye majadiliano ya hamasa kuu, yaliozingatia ukosefu wa ari, miongoni mwa Mataifa Wanachama, ya kukabili kipamoja maovu na ukatili unaofanyiwa raia pale serikali yao inaposhindwa kuwapatia raia hawo hifadhi.

Sikiliza mahojiano kamili baina ya mwendesha vipindi wa Idhaa ya Kiswahili ya Redio ya UM na Profesa Ngugi wa Thiong'o kuhusu 'kanuni ya R2P'.