Skip to main content

Vijana wa Kimataifa wakusanyika Geneva kuhudhuria mazoezi ya kitaaluma kwenye UM wa kuigiza

Vijana wa Kimataifa wakusanyika Geneva kuhudhuria mazoezi ya kitaaluma kwenye UM wa kuigiza

Mradi wa \'UM ya Majaribio\' ni aina ya mazoezi ya kitaaluma yanayoendelezwa kwenye maskuli na vyuo vikuu vya kimataifa takriban kila mwaka, katika sehemu kadha wa kadha za ulimwengu.

Sikiliza mahojinao kamili kwenye idhaa ya matandao.