Mzozo wa waliong'olewa makazi Usomali waendelea
Vile vile kuhusu Usomali, Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) limeripoti kuwa na wasiwasi juu ya athari kwa umma, kuokana na mripuko wa mapigano yaliosababisha mzozo mkubwa wa watu kung\'olewa makazi kujiri kwa hivi sasa katika Usomali.