Mauaji ya Waziri wa Usalama Usomali yaichukiza sana jumuiya ya kimataifa

Mauaji ya Waziri wa Usalama Usomali yaichukiza sana jumuiya ya kimataifa

Waziri wa Usalama wa Usomali, Omar Hashi Aden, aliuawa Alkhamisi wakati akizuru mji wa Beledwenye, uliopo kaskazini ya Mogadishu na baada ya kuhujumiwa na shambulio la bomu la kujitolea mhanga liliogheshwa ndani ya gari moja kubwa.

Sikiliza kibwagizo cha mahojiano hayo kwenye idhaa ya mtandao.