Skip to main content

Ukulima wa vijijini Afrika ndio wenye matumaini ya kuuvua umma na maisha duni, inasema IFAD

Ukulima wa vijijini Afrika ndio wenye matumaini ya kuuvua umma na maisha duni, inasema IFAD

Kanayo F. Nwanze, Raisi wa Taasisi ya Mfuko wa Kimataifa kwa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ametoa taarifa yenye kuonya kwamba "umasikini na njaa ni maafa ya kikatili na yasiovumilika katu" kimataifa na ni lazima yakomeshwe.