Skip to main content

Vikosi vya MONUC vyaitika mwito wa dharurua kuhami raia dhidi ya waasi katika JKK

Vikosi vya MONUC vyaitika mwito wa dharurua kuhami raia dhidi ya waasi katika JKK

Shirika la UM juu ya Ulinzi Amani katika JKK (MONUC) limeripoti, mnamo Ijumaa iliopita, vikosi vya UM vililazimika kupelekwa kwenye sehemu za nchi zilizoshuhudia fujo na vurugu liliochochewa na makundi haramu ya waasi.