Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mazungumzo juu ya kikao cha mwaka kuhusu wenyeji wa asili

Mazungumzo juu ya kikao cha mwaka kuhusu wenyeji wa asili

Kuanzia wiki iiliopita, kwenye Makao Makuu ya UM, kulikusanyika wajumbe karibu 2,000, waliowakilisha mashirika kadha wa kadha, ya wenyeji wa asili waliotokea sehemu mbalimbali za dunia, ambao walihudhuria kikao cha mwaka, cha wiki mbili, kuzingatia taratibu za kuchukuliwa kimataifa, kutekeleza mapendekezo ya ule Mwito wa UM juu ya Haki za Wenyeji wa Asili.

Sikiliza fafanuzi za wajumbe hawa wa KiMaasai kwenye idhaa ya mtandao.