Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti ya OCHA inaonyesha wahamiaji milioni 11 waling'olewa makazi Afrika Mashariki na Kati

Ripoti ya OCHA inaonyesha wahamiaji milioni 11 waling'olewa makazi Afrika Mashariki na Kati

Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) imetangaza ripoti mpya kuhusu idadi ya watu waliong\'olewa makazi katika mataifa ya Afrika Mashariki na Afrika ya Kati.