Skip to main content

Hali ya Mashariki ya Kati, Falastina inasailiwa na Baraza la Usalama

Hali ya Mashariki ya Kati, Falastina inasailiwa na Baraza la Usalama

Baraza la Usalama leo asubuhi lilifanyisha kikao maalumu cha hadhi ya mawaziri, kuzingatia hali katika Mashariki ya Kati, ikijumlisha suala la Falastina.