Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Taarifa ya rakamu 17 kuhusu maambukizi ya H1N1 ulimwenguni

Taarifa ya rakamu 17 kuhusu maambukizi ya H1N1 ulimwenguni

Ifuatayo ni taarifa mpya iliotangazwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu takwimu za maambukizi ya homa ya mafua ya H1N1 ulimwenguni.