Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hali ya tahadhari yatangazwa Namibia kutokana na mafuriko

Hali ya tahadhari yatangazwa Namibia kutokana na mafuriko

Rais wa Namibia ametangaza hali ya hatari nchini mwake kufuatia mafuriko mabaya kutoka nchini muhimo na kusababisha vifo vya karibu watu 90 na elfu 5 kupoteza makazi yao.

 Katika nchi jirani ya Angola watu 19 wamefariki na elfu 250 wamepoteza makazi yao.