Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wapiga kura milioni 5.4 wameandikishwa huko Cote d'Ivoire

Wapiga kura milioni 5.4 wameandikishwa huko Cote d'Ivoire

Ofisi ya UM nchini Cote D\'Ivore imeeleza kama mafanikio muhimu kuelekea uchaguzi mkuu ulocheleweshwa sana huko Cote D\'Ivore, ilipotangaza kwamba zaidi ya wapiga kura milioni 5.4 wameshatambuliwa.