Facebook Twitter Print Email
Kundi la waasi wa Uganda wa LRA limetoa mwito unaotaka mashambulio yanayoongozwa bia na majeshi ya JKK, Uganda na Sudan Kusinia dhidi ya kundi hilo, yasimamishwe haraka.