Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

KM ajadilia hali ya Ghaza na Raisi wa Marekani

KM ajadilia hali ya Ghaza na Raisi wa Marekani

Hii leo, KM Ban Ki-moon ameelekea Washington DC kukutana na kumwaga Raisi wa Marekani George W. Bush, ambaye anatarajiwa kumaliza muda wake mnamo wiki chache zijazo.