Skip to main content

Maharamia Usomali waua kihorera mtumishi wa WFP

Maharamia Usomali waua kihorera mtumishi wa WFP

Maharamia waliokuwa na silaha wameripotiwa kumwua mtumishi mmoja wa Shirika la Miradi ya Chakula Duniani (WFP) katika Usomali wakati alipokuwa akisimamia ugawaji chakula watu waliong’olewa makazi kwenye eneo liliopo kilomita 10 kaskazini-magharibii ya mji mkuu wa Mogadishu.