Skip to main content

Mjumbe wa KM katika Cote d'Ivoire ameridhika na matayarisho ya uchaguzi

Mjumbe wa KM katika Cote d'Ivoire ameridhika na matayarisho ya uchaguzi

Kuhusu habari nyengine, Mjumbe Maalumu wa KM kwa Cote d’Ivoire, Y.J. Choi ameripoti maendeleo ya kutia moyo katika usajili na utambulisho wa wapiga kura, licha ya kuwepo matatizo madogo madogo ya hapa na pale nchini Cote d’Ivoire.