Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mataifa Wanachama yajaribu kukomesha msiba uliopamba Ghaza

Mataifa Wanachama yajaribu kukomesha msiba uliopamba Ghaza

Wiki hii, Baraza la Usalama limefanyisha kikao, cha ngazi ya juu, cha siku mbili kuzingatia hali katika Tarafa ya Ghaza, kikao ambacho kilianza majadiliano Ijumanne usiku, Januari 06 na kuendelea hadi Ijumatano Januari 07 (2009), ambapo wajumbe wa Mataifa Wanachama 15 walishindwa kupitisha azimio la kusimamisha haraka mapigano katika eneo la Ghaza.~

Sikiliza ripoti kamili juu ya suala hilo kwenye idhaa ya mtandao.