Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

ICC imeanza kusikiliza mashtaka dhidi ya JP Bemba

ICC imeanza kusikiliza mashtaka dhidi ya JP Bemba

Kuhusu habari nyengine, Mahakama ya Kimataifa juu ya Makosa ya Jinai ya Halaiki (ICC) leo imeanzisha kusikiliza mashtaka dhidi ya Jeane-Pierre Bemba, raia wa JKK, aliyetuhumiwa kushiriki kwenye makosa ya vita na jinai dhidi ya utu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (JAK) kuanzia 25 Oktoba, 2002 hadi 15 Machi, 2005. Anatuhumiwa kuongoza jeshi la mgambo la MLC liliofanyisha

Mahakama ya ICC inazingatia kama kuna msingi wa kisheria wa kufanyisha kesi dhidi ya Bemba mnamo miezi miwili ijayo, baada ya kukamilisha uthibitisho wa mashtaka yalioanza kusikilizwa na Mahakama mnamo tarehe 12/01/2009.