Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

LRA inaendelea kutesa wasio hatia katika JKK

LRA inaendelea kutesa wasio hatia katika JKK

Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) limetangaza kukhofia usalama, na hali, kijumla, kutokana na mashambulio ya karibuni ya kundi la waasi wa Uganda la LRA kwenye Jimbo la Orientale, katika JKK.

Dungu, imearifu kwamba idadi ya watu waliouawa kwenye jimbo linalopakana na Uganda na Sudan Kusini ni watu 537.” Alisema watu 408 wengine walitoroshwa na LRA tangu vurugu kuanza mwezi Septemba mwaka jana, ikijumlisha watu waliotekwa nyara siku nne zilizopita. Alikadiria watu waliong’olewa makazi