Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Takwimu mpya juu ya kipindupindu Zimbabwe

Takwimu mpya juu ya kipindupindu Zimbabwe

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti mripuko wa kipindupindu Zimbabwe sasa hivi umeshasababisha vifo vya watu 2,106 Ijumanne ya leo.