Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

BU linajadilia suala la vurugu katika JKK

BU linajadilia suala la vurugu katika JKK

Baraza la Usalama limekutana asubuhi kusikiliza taarifa ya Mjumbe Maalumu wa KM kwa Maeneo ya Maziwa Makuu, Olusegun Obasanjo, kuhusu maendeleo ya mazungumzo ya kuleta amani baina ya Serikali ya JKK na kundi la waasi la CNDP.