BK laitisha kikao cha dharura kuzingatia hali katika Ghaza
Alkhamisi asubuhi, Baraza Kuu la UM limeitisha kikao cha 10 maalumu, cha dharura, cha marudio, kuzingatia vitendo vya Israel kwenye maeneo yaliokaliwa ya WaFalastina katika Jerusalem Mashariki na Tarafa ya Ghaza.