Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

BU linazingatia suala la amani kwa Usomali

BU linazingatia suala la amani kwa Usomali

Baraza la Usalama, leo asubuhi limepitisha azimio, kwa kauli moja, chini ya Mlango wa Saba wa Mkataba wa UM, kuongeza kwa miezi sita zaidi operesheni za kijeshi za ulinzi amani katika Usomali za vikosi vya Umoja wa Afrika, AMISOM.