Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uwekezaji wa kigeni kimataifa umeteremka sana 2008, yathibitisha UNCTAD

Uwekezaji wa kigeni kimataifa umeteremka sana 2008, yathibitisha UNCTAD

Shirika la UM juu ya Biashara na Maendeleo (UNCTAD) limetangaza leo kwamba uekezaji wa moja kwa moja wa kigeni kimatafa umeteremka katika 2008 kwa asilimia 21, sawa na dola trilioni 1.4 , na kubashiria hali hiyo itaselelea pia katika 2009.