Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtafaruku wa Kivu Kaskazini unautia wahka mkuu UM

Mtafaruku wa Kivu Kaskazini unautia wahka mkuu UM

Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) limeripoti kuingiwa wasiwasi kuhusu maendeleo katika jimbo la Kivu Kaskazini, ikichanganyika na matayarisho ya kijeshi yaliokutikana kujiri majuzi kwenye eneo hilo la mashariki katika JKK.