Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wapiganaji wa Darfur wakumbushwa "ulinzi wa UM haupendelei"

Wapiganaji wa Darfur wakumbushwa "ulinzi wa UM haupendelei"

Shirika Linalosimamia Vikosi vya Mchanganyiko vya UM-UA kwa Darfur (UNAMID) limetoa taarifa yenye kueleza ya kuwa tangu mapigano kuanza, Januari 15, 2009 kwenye eneo la Muhajeriya, Darfur Kusini, makundi yanayopigana yameonekana yakijikusanya kwenye zile sehemu za eneo hilo ziliopo karibu na kambi za majeshi ya UNAMID.