WHO imeripoti vifo vya kipindupindu Zimbabwe vimekiuka 3,000
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti takwimu mpya kuhusu idadi ya vifo vya kipindupindu katika Zimbabwe, na kueleza sasa hivi idadi hiyo imekiuka vifo 3,000, na imefikia vifo 3,028, kati ya wagonjwa 57,702 walioambukizwa na maradhi hayo tangu mwezi Agosti 2008. ~