Facebook Twitter Print Email
Kadhalika UNRWA hii leo imeripoti WaFalastina 900,000 katika Tarafa ya Ghaza, sasa wanahudumiwa chakula na UM kufuatia mashambulio haribifu ya karibuni ya Israel katika eneo hilo.