'Msaada wa dharura kwa Ghaza ukikamilishwa utafanikiwa kuchochea shughuli muhimu za kiuchumi', asihi Holmes
Naibu KM juu ya Masuala ya Kiutu, John Holmes naye pia alishiriki kwenye mahojiano aliyokuwa nayo KM na waandishi habari mjini Davos, na alieleza, kwa kifupi, namna msaada wa kimataifa utakavyohudumiwa kukidhia mahitaji ya umma muathirika katika Ghaza:~~