IAEA yaanzisha kampeni ya kukithirisha uzalishaji chakula kwa kutumia teknolojia ya kinyuklia
Shirika la UM juu ya Matumizi ya Amani ya Nishati ya Nyuklia (IAEA) limetangaza kuanzisha kampeni mpya ya ufugaji mimea kwa kutumia sayansi ya nyuklia, ambayo itasadiai uzalishaji mkubwa wa chakula.