Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP inataka lishe bora ijumuishwe kwenye matibabu ya UKIMWI

WFP inataka lishe bora ijumuishwe kwenye matibabu ya UKIMWI

Wiki hii wajumbe 5000, kutoka bara la Afrika na sehemu nyengine za ulimwengu, walikusanyika Dakar, Senegal kwenye kikao cha 15 cha (ICASA), yaani ule Mkutano Mkuu wa Kimataifa juu UKIMWI na Udhibiti wa Magonjwa yanayopatikana kwa Kujamiana (STD).