OCHA na UNICEF zaisaidia Zimbabwe kudhibiti bora miripuko ya kipindupindu
Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) imeripoti jumla ya watu walioambukizwa na maradhi ya kipindupindu Zimbabwe ni 12,700 na watu 575 imethibitishwa walishafariki kutokana na ugonjwa huo.