Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makundi yanayohusika na mgogoro wa JKK washiriki kwenye mkutano wa upatanishi Nairobi

Makundi yanayohusika na mgogoro wa JKK washiriki kwenye mkutano wa upatanishi Nairobi

Mazungumzo ya awali, ya uso kwa uso, baina ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na klundi la waasi la CNDP yalifanyika Nairobi, Kenya Ijumanne.