Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wataalamu wa afya kutoka WHO wawasili Zimbabwe kuongoza huduma za kudhibiti kipindupindu

Wataalamu wa afya kutoka WHO wawasili Zimbabwe kuongoza huduma za kudhibiti kipindupindu

Kadhalika, Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwasili Harare, Zimbabwe maofisa wa vyeo vya juu wa taasisi hiyo, ili kuratibu na kuoongoza shughuli za kudhibiti kipindupindu, ujumbe unao’ongozwa na Daktari Eric Laroche, Mkurugenzi Mkuu Msaidizi juu ya Miradi ya Afya kwenye Migogoro na Matatizo.