Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR inasailia hifadhi inayofaa kwa wahamiaji wa muda mrefu

UNHCR inasailia hifadhi inayofaa kwa wahamiaji wa muda mrefu

Leo mjini Geneva, Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) limeanza majadiliano maalumu, ya siku mbili, kusailia hifadhi bora kwa mamilioni ya watu walionaswa, kwa muda mrefu, kwenye mazingira ya ugenini.