Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

OCHA/WHO zimeanzisha vituo vya kudhibiti kipindupindu Zimbabwe

OCHA/WHO zimeanzisha vituo vya kudhibiti kipindupindu Zimbabwe

Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) imetangaza takwimu mpya juu ya waathirika wa miripuko ya maradhi ya kipindupindu katika Zimbabwe.