Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti za Kamati ya Sita zinazingatiwa na Baraza Kuu

Ripoti za Kamati ya Sita zinazingatiwa na Baraza Kuu

Mkutano wa 67 wa wawakilishi wote kwenye Baraza Kuu unazingatia Ripoti za Kamati ya Sita, Kamati ya Baraza Kuu inayohusika na Masuala ya Kisheria.