Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM inawakumbuka waathirika wa shambulio la mwaka jana kwenye ofisi zake za Algiers

UM inawakumbuka waathirika wa shambulio la mwaka jana kwenye ofisi zake za Algiers

KM Ban Ki- moon leo alituma risala maalumu ya kuhisihimu na kuwatukuza watumishi 17 wa UM waliouawa na mabomu ya magaidi yalioangamiza majengo ya UM kwenye mji wa Algiers, Algeria mnamo tarehe 11 Disemba 2007.