Dola milioni 17.5 zahitajika na UNICEF kuhudumia jamii Zimbabwe

12 Disemba 2008

Wakati huo huo, Shirika la UM juu ya Mfuko wa Maendeleo kwa Watoto (UNICEF) limetangaza ombi la kutaka lifadhiliwe dola milioni 17.5 kukidhi mahitaji ya dharura ya kudhibiti miripuko ya kipindupindu Zimbabwe katika kipindi cha siku 120 zijazo.

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud