Facebook Twitter Print Email
Shirika la Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limeashiria litakabiliwa na jukumu kubwa la kuhudumia chakula watu wenye njaa milioni 100 ulimwenguni katika mwaka 2009.