BU linatathminia tena maamirisho ya amani Afrika
Baraza la Usalama Ijumatatu linazingatia ripoti juu ya mapendekezo ya UM ya kuongeza muda wa operesheni za shirika la ulinzi amani katika JKK, MONUC, kwa mwaka mmoja zaidi mpaka tarehe 31 Disemba 2009.