Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa Sirte ni wa daraja ya juu, asema mjumbe wa SADC

Mkutano wa Sirte ni wa daraja ya juu, asema mjumbe wa SADC

Kwenye mkutano mkuu wa siku tatu, wa kiwango cha mawaziri, uliofanyika kwenye mji wa Sirte, Libya wiki iliopita, kujadilia miradi ya kutunza maji kwa kilimo na kuzalishia nishati katika Afrika, kulikubaliwa rai ya kuchangisha mabilioni ya dola kukidhia mipangop hiyo ya maendeleo.

habari ya maji kwa ajili ya kilimo na kwa ajili ya uzalishaji wa nishati, na ni muhimu kwa sababu kwa hali ya sasa katika Afrika tunahitaji chakula pamoja na maji na maji yanahitajika kwa ajili ya kuzalisha chakula na kwa ajili ya kuzalisha pia nishati … Kwa nchi zetu za kusini mwa Afrika, ambazo ni 15, tatizo letu kubwa sana ni kupata nishati ya kuendesha shughuli na pia kupata chakula kwa ajili ya watu wetu, na mkutano kama huu ambao una lengo la kuongeza uzalishaji katika chakula ukitia maji ni muhimu sana.” OUT